Fertility Experts You Can Trust Wataalamu wa Uzazi Unaoweza Kuwaamini

Karibu PAX Fertility, tuko pamoja kwenye safari yako ya uzazi. Karibu PAX Fertility, tuko pamoja kwenye safari yako ya uzazi.

Connect with us Wasiliana nasi

0

IVF treatments successfully completed

0

IUI care plans guided with specialists

0

Fertility consultations provided to families

0

Percent patient satisfaction across services

Our Services Huduma Zetu

Our Doctor

What Our
Doctor Has
To Say...
Ujumbe Kutoka Kwa Daktari Wetu....

View all FAQs Tazama Maswali Yote

When should I seek fertility advice?Ni lini ninapaswa kutafuta ushauri kuhusu uzazi?

If you’ve been trying to conceive for up to one year without success (or six months if you’re over 35), it’s advisable to undergo an evaluation.Ikiwa umekuwa ukijaribu kupata mimba kwa mwaka mmoja bila mafanikio (au miezi sita ikiwa una zaidi ya miaka 35), inashauriwa ufanye uchunguzi.

What exactly is IVF?IVF ni nini hasa?

IVF is the process of retrieving eggs and combining them with sperm in the lab. The embryo is monitored for a few days before being transferred into the uterus to grow into a pregnancy.IVF ni mchakato wa kuchukua mayai na kuyachanganya na manii maabarani. Mbegumo hufuatiliwa kwa siku chache kisha kupandikizwa ndani ya mji wa mimba.

Is the process painful?Je, mchakato huu una maumivu?

Some procedures like egg retrieval are done under light sedation, so you won’t feel pain during the procedure. Some steps may cause mild discomfort, but we provide pain relief and support.Hatua kama kuchukua mayai hufanyika chini ya usingizi mwepesi, hivyo hutasikia maumivu wakati wa utaratibu. Baadhi ya hatua huleta usumbufu mdogo, lakini tunakupa msaada na dawa za maumivu.

Will people know I’m going to a fertility clinic?Je, watu watajua kuwa ninaenda kliniki ya uzazi?

No. Your privacy is our highest priority. All services, discussions, and results remain fully confidential unless you choose to share.Hapana. Siri yako ni wajibu wetu mkubwa. Huduma zote, majadiliano na matokeo yako yanabaki siri kamili isipokuwa ukichagua kushiriki.

How much does it cost?Gharama ni kiasi gani?

Costs vary depending on your plan and needs. During your first consultation, we provide a clear and detailed estimate before you start any treatment.Gharama hutofautiana kulingana na mpango na mahitaji yako. Kwenye mkutano wa kwanza, tutakupa makadirio ya wazi na ya kina kabla ya kuanza matibabu.

How is your clinic different from others?Kliniki yenu inatofautiana vipi na zingine?

We provide holistic care for the whole family: advanced technology, personalized plans, psychological support, and reassurance at every step.Tunatoa mfumo wa matibabu na msaada wa kipekee kwa familia nzima: teknolojia ya hali ya juu, mpango maalum, msaada wa kisaikolojia, na uhakika kila hatua.

How long does the treatment journey take?Safari ya matibabu inachukua muda gani?

It varies. During your consultation, we’ll provide a projected calendar to help you prepare mentally and financially.Muda hutofautiana. Kwenye mkutano wako tutakupa kalenda ya makadirio ili ujipange kiakili na kiuchumi.

Will I need to be admitted to hospital?Je, nitahitaji kulazwa hospitalini?

No. Procedures are done at the clinic and you go home the same day. After a short rest, you can resume normal activities.La. Vitendo hufanyika klinikini na hurudi nyumbani siku hiyo hiyo. Baada ya kupumzika kidogo unaweza kuendelea na shughuli zako.

Key Question:

"Where can YOUR role inject a moment of clarity?"

Adapted from Stanford d.school, used by Kaiser Permanente